Raiswa shIrikisho LA miguu Tanzania Wallace Karia amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ujumbe was baraza la shirikisho LA kimataifa LA Moira was miguu FIFA COUNCIL kuwakilisha nchi za Afrika zinazozungumza kiingereza Baada ya kushauriana na viongozi wenzake wa Baraza LA Vyama vya Mpira wa miguu Afrika Mashariki na kati CECAFA ambapo yeye ni Raising aliamua
Raiswa shIrikisho LA miguu Tanzania Wallace Karia amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ujumbe was baraza la shirikisho LA kimataifa LA Moira was miguu FIFA COUNCIL kuwakilisha nchi za Afrika zinazozungumza kiingereza
Baada ya kushauriana na viongozi wenzake wa Baraza LA Vyama vya Mpira wa miguu Afrika Mashariki na kati CECAFA ambapo yeye ni Raising aliamua kujiondoa ili awekeze nguvu tff na katika baraza hilo.
Kutokana na kumuunga mkono Patrice Motsepe wa Afrika kusini ambaye ni mgombea pekee wa urais wa shirikisho Lampira wa miguu Afrika CAF nafasi ya Afrika kwa nchi zinazongumza kiingereza inabaki moja tu.
Kwa kuwa Rais wa CAF Motsepe ambaye anatoka kwenye nchi inayozungumza kiingereza anakuwa moja kwa moja mjumbe wa Fifa Council.
Uchaguzi wa CAF unafanyika Leo jijini Rabat, Morocco.
Leave a Comment
Your email address will not be published. Required fields are marked with *